DRIVERS ARE NEEDED MDAs & LGAs (400-DRIVERS)

DEREVA DARAJA LA II TGS B - (NAFASI 400) - 400 POST


Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-07-29
Application Deadline: 2019-08-12

JOB SUMMARY:


N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


i) Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,

ii) Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,

iii) Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari,

iv) Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,

v) Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,

vi) Kufanya usafi wa gari, na

vii) Kufanya kazi nyingine kadri anavyoelekeza na Msimamizi wake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:


i) Kuajiriwa kwenye Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka bila kusababisha ajali.

ii) Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

iii) Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.REMUNERATION: Salary Scale TGS. B

DRIVERS ARE NEEDED MDAs & LGAs (400-DRIVERS) Bongo Life 5 of 5
DEREVA DARAJA LA II TGS B - (NAFASI 400) - 400 POST Employer: MDAs & LGAs Date Published: 2019-07-29 Application Deadline: 2019-08...
DRIVERS ARE NEEDED MDAs & LGAs (400-DRIVERS)

COMMENTS

Name

Arusha,1,Bachelor of Pharmacy (BPharm),1,Degree,2,Degree in Medical Doctor (MD),1,Doctor of Dental Surgery (DDS),1,Education and training,2,Engineering and construction,1,Full-time,1,Healthcare and Pharmaceutical,1,HR and Administration,2,
ltr
item
Bongolife Jobs: DRIVERS ARE NEEDED MDAs & LGAs (400-DRIVERS)
DRIVERS ARE NEEDED MDAs & LGAs (400-DRIVERS)
Bongolife Jobs
https://jobs.bongolives.com/2019/07/drivers-are-needed-mdas-lgas-400-drivers.html
https://jobs.bongolives.com/
https://jobs.bongolives.com/
https://jobs.bongolives.com/2019/07/drivers-are-needed-mdas-lgas-400-drivers.html
true
994959767915042510
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS PREMIUM CONTENT IS LOCKED STEP 1: Share to a social network STEP 2: Click the link on your social network Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy